Hatua zetu za ziara ya kwanza na FAQ itakusaidia sana baada ya kujisajili. Zinaelezea jinsi ya kupanga kusano vile upendavyo (kwa mfano lugha), namna ya kupakia mafaili na msingi wa sera yetu ya hatimiliki. Huhitaji maarifa ya kiufundi ili uweze kuchangia hapa. Kuwa mjasiri changia hapa na uwe na imani nzuri kwa ajili ya wengine. Hii ni wiki—ni rahisi kweli.
You don't need technical skills in order to contribute here. Be bold when contributing and assume good faith when interacting with others. This is a wiki.
Weka masanduku ya Babeli katika ukurasa wako wa mtumiaji hivyo basi wengine watajua lugha gani unazoweza kuongea na onyesha vipawa vyako vya mchoro.
Ulivyopakia vyote vinahifadhiwa katika sehemu yako binafsi ya sanaa
Tafadhali sajili jina lako kwenye katika kurasa za Majadiliano kwa kutaipu ~~~~
Ukitaka kuweka kiungo katika ukurasa fulani, itakayokwenda katika ukurasa wa picha, bila kuonyesha picha yenyewe katika ukurasa wa kwanza, andika hiyo: [[:File:Foo.jpg]], na kiungo itaonekana hivyo: File:Foo.jpg
Kama unanakili mafaili kutoka kwa wiki nyingine, tumia CommonsHelper
Have you edited Wikipedia before? This guide might be useful.
Umekosea?
Unataka faili lipate jina jipya au lihamishwe? Uliwekee alama kama hii tu: {{rename|jina_jipya|numeric rationale|sababu_ya_kubadilisha_jina}} halafu subiri hadi msimamizi au mhamishaji-mafaili atakapolibadilisha.
Unataka kufuta picha yako, kwa sababu nyingine? Weka alama ya {{speedy|sababu ya kufuta}} juu yake.